Zari avunja rasmi mahusiano yake na Diamond Platinumz sababu ya kukosekana kwa uaminifu katika mahusiano yao

Mwqnangu vipi mpambano wa viewz kat ya zilipendwa na seduce me
Mkuu mi sina timu,hao majamaa mi wote nawakubali,views hazinisaidii kitu mi nikisikiliza mziki nikaupenda inatosha.
 
Labda kama analisuguwa papa naweza kukuelewa.

Zari ana kitu gani cha kumbabaisha Diamond? Poor IQ ndio zinawasumbuwa.
Baba S do not underestimate the power of papuchi.... mambo ni motooo
 
Hahahaaaa “Blaza”inategemea mimi hanipi gegedo kaolewa na hataki mawasiliano kabisa mtoto mwenyewe kumuona naenda kumuonea shule weee acha kabisa
nimempenda bure huyo...safi sana
 
Labda kama analisuguwa papa naweza kukuelewa.

Zari ana kitu gani cha kumbabaisha Diamond? Poor IQ ndio zinawasumbuwa.
Sababu wewe sio diamond. Ungekua yeye ungejua kitu kinacho mbabaisha.
IQ yangu ni 135. Nayo ni poor iq???
 
Yani kweli kbs unasimama mbele za watu unasifia IQ yako?!..bora ungejisifia chogo lako
Sijasimama mbona nmekaa. Nimemjibu iq nliyonayo sababu kasema nina poor iq. Kumbe nayo ni sifa kumjibu mtu.
Chogo sina bna. Kichwa changu sio kama chako chenye chogo kama ncha ya bamia[emoji21][emoji21]
 
Chogo chemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…