Zari azua kizaazaa msibani

Watz shida ya Ajira kweli ni kubwa.
Poa ndio star kabakia.
 
Zari kwao ma paparazi wanampenda sana pia, so msishangae wa nchini kwetu...ukiwa na nyota ni nyota tubila jitihada nyingi hata ukitulia bila kuongea neno watakusaka na kukutaka habari zako. Zari yupo juu
 
Hakuna lolote, ashukuru kuwa na Diamond, kabla ya hapo nilikuwa hata simjui
 
Yupo juu, angekuwa mama ubaya apo angetaka show off za kupigwa picha, zari huo upuuzi hanaga
 
Hakuna lolote, ashukuru kuwa na Diamond, kabla ya hapo nilikuwa hata simjui

Watu wengine ubishi wa wivu tu, sasa kama ni wewe haumjui why kusema "hakuna lolote" ... wakati sio lazima umjue

Mbona tupo waTanzania tuliokuwa tunamjua kwa muda mrefu tena sababu ya maisha yake yalivyo na anavyokubalika...hata usemeje yupo juu na inajulikana hiyo. Si unajua ni Mganda anayeishi SA na sasa TZ pia au?

Yupo juu ukitaka nenda hata google images weka jina utaona....kwa news ndio usiseme....anauzia watu magazeti na ma blog kupata pesa

ukitaka pia weka yule wa TZ ka ex uone ngapi zitakuja kwa images
 
Jeatina kawa mrembo... mweeee. Asante kwa udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…