Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

Hafanyi umalaya ni msichana anayejitambua sana na mwenye msimamo mkali, akipenda kakupenda kwa dhati, anapenda show off lakini ziwe real sio fake. Yule bwana wake wa kwanza walipendana sana, jamaa alivopata mafanikio makubwa akaanza kumistreat Zari ikiwa ni pamoja na kumpiga, kudate na madem wengine waziwazi, Zari akambwaga jamaa, na hata alipotaka kurudi akamkazia, na ili kumuonesha kuwa hamtaki tena, akaanza kudate na Dai na kumzalia watoto kabisa, jamaa akafa kwa pressure 😂😂😂. Alichokifanya Ivan na Diamond kakifanya, Zari hatomrudia Diamond anachoangalia ni malezi ya watoto tu ila asha move on........ Hana umalaya hata chembe ila ni mwanamke anayetambua thamani yake.

Na sisi wanaume tuombe wanawake wote wasijitambue, Siku wakijitambua na kujua thamani yao, nusu ya wanaume tutakufa ndani ya mwezi mmoja.
Naona kikongwe asiyethaminiwa na wanaume wa Kiafrika (Mange Kimambi) atakuja kujiua kusikia hizi habari
 
Hafanyi umalaya ni msichana anayejitambua sana na mwenye msimamo mkali, akipenda kakupenda kwa dhati, anapenda show off lakini ziwe real sio fake. Yule bwana wake wa kwanza walipendana sana, jamaa alivopata mafanikio makubwa akaanza kumistreat Zari ikiwa ni pamoja na kumpiga, kudate na madem wengine waziwazi, Zari akambwaga jamaa, na hata alipotaka kurudi akamkazia, na ili kumuonesha kuwa hamtaki tena, akaanza kudate na Dai na kumzalia watoto kabisa, jamaa akafa kwa pressure [emoji23][emoji23][emoji23]. Alichokifanya Ivan na Diamond kakifanya, Zari hatomrudia Diamond anachoangalia ni malezi ya watoto tu ila asha move on........ Hana umalaya hata chembe ila ni mwanamke anayetambua thamani yake.

Na sisi wanaume tuombe wanawake wote wasijitambue, Siku wakijitambua na kujua thamani yao, nusu ya wanaume tutakufa ndani ya mwezi mmoja.
Siwezi kufa kwa ajiri ya mwanamke
 
Afrika Kusini, kununua nyumba as a foreigner ni lazima uwe na kibali cha kuishi ( ambacho Diamond sidhani anacho ).

So, possibly kwenye hati za nyumba yupo Zari.
Una uhakika au unahisi?
 
Labda kama unazungumzia Sheria za enzi za Makaburu kinyume chake, maelezo yako hayana ukweli wowote hususani kwa mtu kama Diamond (Tanzanian national)!

Wanachoangalia ni visa status yako na nchi unayotoka... I mean, kama una stahiki kuingia na kuishi SA!!

Kwavile Mtanzania anaweza kuingia SA bila viza na kuishi up to 90 days, leo hii Mbongo anaweza kwenda SA na kesho akanunua nyumba provided sio illegal, na Jtatu akageuza!! Atatakiwa ku-apply extended visa only if kama anatarajia kuishi kwa zaidi ya siku ya siku 90 vinginevyo
hana sababu hiyo!!!

Kitu tofauti kabisa atakachotakiwa kufanya ni kujisajiri kama mlipa mlipa kodi wa SA kwa sababu mauziano ya nyumba yanaenda na kodi, na labda hapo baadae atalazimika kuiuza!!

Na sio hivyo tu, kwa Mbongo anaweza kununua nyumba SA bila hata kwenda huko SA.
Wewe una akili kama zangu.hata sheria za kodi za Tanzania na sheria za nchi zinaruhusu non-resident kumiliki nyumba ila anatakiwa asajiri kama investor na sio individual.
 
Muongo mkubwa we![emoji57][emoji57][emoji57]
 
Hafanyi umalaya ni msichana anayejitambua sana na mwenye msimamo mkali, akipenda kakupenda kwa dhati, anapenda show off lakini ziwe real sio fake. Yule bwana wake wa kwanza walipendana sana, jamaa alivopata mafanikio makubwa akaanza kumistreat Zari ikiwa ni pamoja na kumpiga, kudate na madem wengine waziwazi, Zari akambwaga jamaa, na hata alipotaka kurudi akamkazia, na ili kumuonesha kuwa hamtaki tena, akaanza kudate na Dai na kumzalia watoto kabisa, jamaa akafa kwa pressure 😂😂😂. Alichokifanya Ivan na Diamond kakifanya, Zari hatomrudia Diamond anachoangalia ni malezi ya watoto tu ila asha move on........ Hana umalaya hata chembe ila ni mwanamke anayetambua thamani yake.

Na sisi wanaume tuombe wanawake wote wasijitambue, Siku wakijitambua na kujua thamani yao, nusu ya wanaume tutakufa ndani ya mwezi mmoja.
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Labda kama unazungumzia Sheria za enzi za Makaburu kinyume chake, maelezo yako hayana ukweli wowote hususani kwa mtu kama Diamond (Tanzanian national)!

Wanachoangalia ni visa status yako na nchi unayotoka... I mean, kama una stahiki kuingia na kuishi SA!!

Kwavile Mtanzania anaweza kuingia SA bila viza na kuishi up to 90 days, leo hii Mbongo anaweza kwenda SA na kesho akanunua nyumba provided sio illegal, na Jtatu akageuza!! Atatakiwa ku-apply extended visa only if kama anatarajia kuishi kwa zaidi ya siku ya siku 90 vinginevyo
hana sababu hiyo!!!

Kitu tofauti kabisa atakachotakiwa kufanya ni kujisajiri kama mlipa mlipa kodi wa SA kwa sababu mauziano ya nyumba yanaenda na kodi, na labda hapo baadae atalazimika kuiuza!!

Na sio hivyo tu, kwa Mbongo anaweza kununua nyumba SA bila hata kwenda huko SA.
Anafikiri maadam Sauzi imo ndani ya SADC basi mambo yake ni kama sera za Bongo..

Everyday is Saturday................................😎
 
Wewe una akili kama zangu.hata sheria za kodi za Tanzania na sheria za nchi zinaruhusu non-resident kumiliki nyumba ila anatakiwa asajiri kama investor na sio individual.
Tena nakumbuka wakati ule NHC wamejenga nyumba kibao zikawa zinakosa wanunuzi, JK aliwahi kushauri kuangalia uwezekano wa kubadili sheria zetu! Nadhani kwa nyumba za NHC, sheria ilikuwa au still inakataza foreignor kununua nyumba kwa sababu ni mali ya serikali!!
 
Hahaha!!! Tafuta pesa, tiketi nitakulipia mwenyewe uone kama hujanunua nyumba just within a week bila kuwa na kibali cha ukaazi!! Unajua SA ilitokea construction boom ambayo hawakuwa na budi zaidi ya kutoweka masharti ya kipuuzi!!
I trust you dear, jus provoke a little bit[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom