Zari: Diamond hawajawahi kunifukuza kwenye nyumba

Naona kikongwe asiyethaminiwa na wanaume wa Kiafrika (Mange Kimambi) atakuja kujiua kusikia hizi habari
 
Siwezi kufa kwa ajiri ya mwanamke
 
Afrika Kusini, kununua nyumba as a foreigner ni lazima uwe na kibali cha kuishi ( ambacho Diamond sidhani anacho ).

So, possibly kwenye hati za nyumba yupo Zari.
Una uhakika au unahisi?
 
Wewe una akili kama zangu.hata sheria za kodi za Tanzania na sheria za nchi zinaruhusu non-resident kumiliki nyumba ila anatakiwa asajiri kama investor na sio individual.
 
Muongo mkubwa we![emoji57][emoji57][emoji57]
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Anafikiri maadam Sauzi imo ndani ya SADC basi mambo yake ni kama sera za Bongo..

Everyday is Saturday................................😎
 
Wewe una akili kama zangu.hata sheria za kodi za Tanzania na sheria za nchi zinaruhusu non-resident kumiliki nyumba ila anatakiwa asajiri kama investor na sio individual.
Tena nakumbuka wakati ule NHC wamejenga nyumba kibao zikawa zinakosa wanunuzi, JK aliwahi kushauri kuangalia uwezekano wa kubadili sheria zetu! Nadhani kwa nyumba za NHC, sheria ilikuwa au still inakataza foreignor kununua nyumba kwa sababu ni mali ya serikali!!
 
Hahaha!!! Tafuta pesa, tiketi nitakulipia mwenyewe uone kama hujanunua nyumba just within a week bila kuwa na kibali cha ukaazi!! Unajua SA ilitokea construction boom ambayo hawakuwa na budi zaidi ya kutoweka masharti ya kipuuzi!!
I trust you dear, jus provoke a little bit[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
I trust you dear, jus provoke a little bit[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
And I knew you didn't mean it cuz' I also know you have no gut to tell your big brother "you're lying"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…