[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hajaribiwi, alishasema tufyatue tu
Na kama angekuwa anawaomba wamsaidie kugawana machungu ya labor au adha za kulamba ndimu na kufakamia pemba sijui ingekuwaje !Watu wanashangaza sana! K yake kugegedwa anagegedwa yeye, tafrani za ujauzito anazijua na hajaomba 'ntu' amsaidie, uchungu wa kujifungua anaujua, gharama za kulea anazijua na hajaomba msaada kwa yeyote yule lakini bado kuna watu watalalamika tu!
kwenu mpo wangapi?Huyu Zari tunaomba serikali iingilie kati kwa kweli washa toshaaa.
Kama Hujawahi Kuzaa, Una Uhakika Gani Kama Utapata Hata Huyo Mmoja ?Kwani njia za uzazi wa mpango hakuna?
BTW kwetu tupo watatu tu, my mama ni role model wangu katika suala la uzazi.
So nitatumia siri ya mama ya uzazi wa mpango.
Period
Wapi wewe tumelala na wanawake kibao walizowazaa watoto wengi na hali halisi tunaijua.
Kwetu tumezaliwa wawili ndio.
Dah... nasikia anaitwa Hapa Kazi Tu[emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi huyu dogo la Tifwa aitwa nan!?
Wameoana au ni watt wa nje ya ndoa??watt wa haramu hawana ladha
Kaona Fursa .Mapenzi. Inaonekana huyu mwanamama anampenda sana diamond ndio maana haoni na wala hasikii kwa huyu kijana
Mkulu alituambia tufyatue tuHuyu Zari tunaomba serikali iingilie kati kwa kweli washa toshaaa.