Kifuu cha moto
Senior Member
- Dec 16, 2016
- 132
- 101
Njoo nikufyatulishe watanoLabor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikufyatulishe watanoLabor wards ambassador,kuzaa sana nacho kipaji.
Mimi nimezidisha sana watatu tu.
Hongera zake.
Unawaza ninii?Ila Dinazarde unanifanya niwaze mbali.
Acha utani mkuuHahahahah
Sio tu ni maumbilee mkuu,,ushatembea na wanawake waliozaa watoto kuanzia wangapi?
Ina maana diamond anaogelea kwa zari [emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Anatimiza maneno ya mkuu aliposema watu wafyatue tu .serikali ina pesa yakutosha .
Ina maana hana hata wa kusingiziwa mkuuZaa mama za mama usijekua kama, yule dada, yetu wa jamii forum niffa ambae, hana, hata, kichezo tumboni
IUle mchezo pendewa wa chumbani unaowahusisha wachezaji wawili .Unawaza ninii?
Kwani wewe wajua asili yako?Serikali iingie kati kwa kutuongezeaaa watu wenye raia wa nchi mbili
Ahhahahah haya banaIUle mchezo pendewa wa chumbani unaowahusisha wachezaji wawili .
Azae kwa haki sasa aolewe siyo unazini afu ooh Mungu alithema nyoo...Bado mkuu hata mungu alituambia tukaijaze dunia kwa hiyo zari anastahili pongezi kwa kuwa anaifanya vyema ile kazi aliyotumwa.
unatumia kigezo gani Dina?Diamond anaonekana tu ana kitu kikubwa sana
Wanasemaunatumia kigezo gani Dina?
Kwani angesemaje. Huyu ni mjadiria mali. Akikanusha itakuwa mengine.mwache atengeneze hela kwa kuzaa. Watoto ndio mtaji kwakeWakati mabinti wengine wakijikita katika matumizi ya mikorogo na kukimbilia wanaume wenye pesa hali ni tofauti kwa mwanamama zari hassan (the boss lady ) ambaye amekiri wazi kuwa kitu anachopenda zaidi katika maisha yake ni kuzaa.
Zari ambaye ni mpenzi wa mwanamziki nyota Africa diamond platnumz amesema hayo ikiwa ni siku chache tangu apate mtoto wa kiume aliyezaa na diamond ambaye watu walimbeza kuwa anazaa bila mpangilio eti kiza tu alibeba ujauzito kabla ya mtoto wao wa kwanza tiffah hajatimiza mwaka mmoja.
Licha ya zari kuwa na watoto watano kwa sasa ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye na diamond wana mpango wa kuzaa mtoto mwingine wa tatu na baada ya hapo hatozaa tena na badala yake watajikita zaidi katika kuwalea watoto wao.
naskia umchezaji mashuhuri sana eti sjui ni kweli?Ahhahahah haya bana
Mchezaji wa?naskia umchezaji mashuhuri sana eti sjui ni kweli?
Hebu acheni kuwatusi mama zenu na bibi zenu hapa waliowazaa !K yake ni mpira au?
Steven Mushi mushi yaani hatari Kuna puuzi huko juu linaotwa Arthur limeuliza hadi swala kijinga kabisa!Kinachoshangaza ni watu kuona ajabu ya zari kuzaa watoto wengi