ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

"Mademu wapenda ujana,mtaani hawataki kuzaa"darasa ft ben pol-sikati tamaa
 
Hongera zake!
Ushauri kwa akina dada,mkiendekeza mchezo wa kuvunjwa kabati hata watatu hufikishi
 
we ya mama yako kama uliiangalia naomba usiniletee uchafu wako


Ndio ukome kutukana wanawake eti kisa wamezaa. Acha kuvunjia heshima kinamama kama we mamaako ni mwanaume vile
 
bwawa mkuu yani unaskia kama upo bwawa la nyumba ya mungu yani fulu kuogelea tuu na maji kibao halafu kwenye kina kirefu
Hahahahah
Sio tu ni maumbilee mkuu,,ushatembea na wanawake waliozaa watoto kuanzia wangapi?
Ina maana diamond anaogelea kwa zari [emoji13][emoji13][emoji13]
 
Jaman!! Mbona kizazi cha Shetani mnakishangaa?
Kuzaa siyo dhambi ila Uzao Huu wa Shetani wala Haujali nsyo kwanza wanaona kama dhambi vle!! Zaa uwezavyo kwamaana MUNGU AMERUHUSU


~Cmb
 
Huyo nae anatumia watoto kama mtaji , chezea child support , eti anapenda kuzaa why hakuzaa na yule mwanamme wake choka mbaya mwenye sixpark?baada ya kutengana na mme wake , kabla hajampata diamond why hakuzaa na hao wanaume?
Mambo ya fwendha mambo ya fwedhaaaaa[emoji2]
 
Zaa mama za mama usijekua kama, yule dada, yetu wa jamii forum niffa ambae, hana, hata, kichezo tumboni
 
wengine kwao wamezaliwa 9 kama sio 11 lakini hapa kujifanya wanamponda Zari hebu kwendenu zenu kule

as long as she can take care I them muacheni azae
Shangaa na ww, heri yake anaezaa na watoto wakaonekana kuliko wanaozalia chooni.
 
Diamond anaonekana tu ana kitu kikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…