ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

Kuzaa ni hatua ya mwisho, angesema anapenda kile ambacho zao lake ni mtoto.
 
China utafungwa shemeji... Kumbe interest yako kuzaazaa tu shemeji daaah..so yyte akija poa tu..haya bwn
 
Kwani angesemaje. Huyu ni mjadiria mali. Akikanusha itakuwa mengine.mwache atengeneze hela kwa kuzaa. Watoto ndio mtaji kwake
 
K yake ni mpira au?
Hebu acheni kuwatusi mama zenu na bibi zenu hapa waliowazaa !
Suali gani hili unauliza?halafubukitembelea kwenu wewe na wadogo zako 6 huwa hiliswali linakujia juu ya mzazi wako? Hapa we dare to speak openly but haimaanishi tuwakosee heshima wanawake kwa kufanya kile Mwenyezi Mungu amejaalia kwa maumbile yao !taadabu we mpuuzi Zari anaweza kuwa mwanamke tu kama mwanamke mwingine lakini hata mama yako huenda amekuzaeni zaidi ya wanne bado unafikiri hoja yako ya kihanithi ina mashiko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…