“Zari Hassan Aborted My Kids,” Farouk Sempala

Kama huna pesa mwanao tupa kuleeee babu
 
Hii kitu kumbe imevurugwa na kijiji
wanaume wa zari


Ivan Semwanga
Isaac Lugudde
Farouk Sempala
General Jeje Odong
Moze Radio
Aziz Azion
Jose Chameleone
Isaiah
King Lawrence
Robert Ogwal aka Rasta Rob
Nigerian DJ
Exodus
DJ Shiru
Nigerian businessman
Tanzanian businessman who organizes her boat cruise in Dar es Salaam
Juma Seiko
Weasel TV

Hiyo list nimecopy hapa hapa jf kuna mdau aliileta kweli huyo mama ni kiwembe!
 
Ohh hatari sana
 
Hii kitu kumbe imevurugwa na kijiji
Acheni ushamba, halua haina makombo!
 
ndio maana basi anazaa mimba ikiahika ili ajaribu kufuta dhambi ya kuua ila haifutiki!
 
mbona wachache na wewe khaaa
 
Labor ward ambassador... Nikimkumbuka Huddah si kwa kichambo kile.....
 
Farouk...........si mara moja au mara mbili ..........Na bado ukaendelea naye...ULIYATAKA.
Waache waendelee na maisha yao.......
Ya zamani yamepita Na sasa wako katika Dunia Yao
 
Sioni tofauti ya Zari na Wema, kasoro huyu anatumia kizazi vizuri. Farouk huna hela sio maarufu azae na wewe ili iweje??
 
Napata ukakasi kuelewa, we mwanaume umejuaje haya mambo? Kama uko Dar, Makonda anakuhusu.
KWASABABU MIE MWENYEWE NINA SURA MBAYA KAMA JAMAA NA MHOGO PIA VIPI UNA DADA?
 
Atleast wote wanaonekana wanazo vp yule wa upande wa pili list yake inasomekaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…