“Zari Hassan Aborted My Kids,” Farouk Sempala

“Zari Hassan Aborted My Kids,” Farouk Sempala

mwanamke kama huyo siwezi kuishi naye hata wiki moja. labda kama ni mchepuko ila singekuja kumuita wife hata siku moja.
mwanamke kama huyo siwezi kuishi naye hata wiki moja. labda kama ni mchepuko ila singekuja kumuita wife hata siku moja.
Unajua wengine hawapendi iwe hivyo mkuu,ila wanajikuta tu wanawafolenisha,yawezekana alipigwa chini na hao jamaa baada ya wao kupata walichotaka,hivyo anajaribu kuhamia kwengine akiwa na matarajio makubwa ya kuwa na uhusiano utakaodumu,lakini mwisho wa siku ni vile vile kama waliotangulia.kwa hiyo unaweza kumuona malaya lkn hakupenda iwe hivyo mkuu.
 
Hivi kuna njemba yoyote yule demu wake hajapitia? Au kaoa kamkuta demu wake bikra. Ukifata hayo hutaoa lazima ukute watu wamemega tu
 
wanaume wa zari


Ivan Semwanga
Isaac Lugudde
Farouk Sempala
General Jeje Odong
Moze Radio
Aziz Azion
Jose Chameleone
Isaiah
King Lawrence
Robert Ogwal aka Rasta Rob
Nigerian DJ
Exodus
DJ Shiru
Nigerian businessman
Tanzanian businessman who organizes her boat cruise in Dar es Salaam
Juma Seiko
Weasel TV

Hiyo list nimecopy hapa hapa jf kuna mdau aliileta kweli huyo mama ni kiwembe!
Mla Mla leo Mla jana..... Almasi is the Man
 
Back
Top Bottom