“Zari Hassan Aborted My Kids,” Farouk Sempala

Labor ward ambassador... Nikimkumbuka Huddah si kwa kichambo kile.....
Aatleast she is a labour ward ambassador kuliko huyo anaye bwia unga akifa hizo pesa anazotunza watazifaidi wengine wakay mwenzio kizaz chake kitafaidi hizo pesa
 
Atleast wote wanaonekana wanazo vp yule wa upande wa pili list yake inasomekaje
Kwa kweli atleast huyu maana hadi kujiingiza dildo sio level za yule ni level za kim kardashian kama yeye anavyosemaga
 
Masikini Farouk [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kati ya wanaume wa zari nnaowajua huyo mwanaume ana sura mbaya jamani khaaa hapana asee
 
mwanamke kama huyo siwezi kuishi naye hata wiki moja. labda kama ni mchepuko ila singekuja kumuita wife hata siku moja.
 

Mi nadhani ni kawaida kwanza ni wachache,kumbuka huyu mapenzi kwake ni hadharani kila mtu hujua kwasababu ya media kumfuatilia sana,amini nakwambia hawa madame wetu wa kitaa ni zaidi ya Zari,wanaorodha ya hatari uwezi amini,yaani 18 tu unapiga kelele kwa umri ule!almost 40,peleleza demu wako uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…