Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
mwanamke kama huyo siwezi kuishi naye hata wiki moja. labda kama ni mchepuko ila singekuja kumuita wife hata siku moja.
Unajua wengine hawapendi iwe hivyo mkuu,ila wanajikuta tu wanawafolenisha,yawezekana alipigwa chini na hao jamaa baada ya wao kupata walichotaka,hivyo anajaribu kuhamia kwengine akiwa na matarajio makubwa ya kuwa na uhusiano utakaodumu,lakini mwisho wa siku ni vile vile kama waliotangulia.kwa hiyo unaweza kumuona malaya lkn hakupenda iwe hivyo mkuu.mwanamke kama huyo siwezi kuishi naye hata wiki moja. labda kama ni mchepuko ila singekuja kumuita wife hata siku moja.