Zari is insecure over Jackline Wolper, not Wema Sepetu anymore

Mi nlidhani Simba ni kama pikipiki haina riverse! Kumbe hatabiriki
 
Wolper ana msongo wa mawazo. Mcongo kamla hadi utamu umeisha halafu kasepa. Mwacheni apunguze mawazo kwanza.
 
ze asi komentingi hea izi veri difikati bikozi languaje
 
Sasa ubuyu gani huu.....nasoma naona tu sekyurite sekyurite...
 
[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40] @
 
Huyu nae atafute kiki mpya....

Au akajenge walk in closet kule kwake....

Kama sio kupapanga ili chumba kiwe na space na kuondoa mabegi juu ya kabati
 
Huyu nae atafute kiki mpya....

Au akajenge walk in closet kule kwake....

Kama sio kupapanga ili chumba kiwe na space na kuondoa mabegi juu ya kabati
Kalime achana na umbea my dear!.......Ukiendelea na tabia yako ya kupenda umbea nitamwita huku mtu mmoja matata ambae hutumia ID ya housegirl aje kukutandika viboko!
 
Ila hii lugha nayo mzigo, nimeanza kuisoma tangu darasa la 3 hadi digrii ila bado nikiambiwa niiongee naishiwa pozi dah, hii lugha ni kiboko ya wanaume wa dar
 
Wolper ana msongo wa mawazo. Mcongo kamla hadi utamu umeisha halafu kasepa. Mwacheni apunguze mawazo kwanza.
Yule mkongo ni mchawi, alimwambia binti wa watu auze kila kitu wanakwenda kuanza maisha SA. Amerudi anaanza moja.
 
Wolper is outdated.
Diamond shouldn't walk back the path he passed long ago.
Zari is a comple package. Beautiful, wife material, fighter, with amazing career.
What does Wolper do currently?
 
na tuache uwongo, wolper na zari hawajapishana kwa lolote katka uzur, kama ni marks bs watapata sawa kwa sawa
 
Hata kama sijaelewa kilichoandikwa ngoja nikisie tu. Mnasema kuwa Mondi amewagonga hawa mademu wote kwa kwenye hiyo picha? Khaaa! Alijinomepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…