Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Wala kiporo hakihitaji moto mwingiMavi ya kale hayuniki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala kiporo hakihitaji moto mwingiMavi ya kale hayuniki
Kalime achana na umbea my dear!.......Ukiendelea na tabia yako ya kupenda umbea nitamwita huku mtu mmoja matata ambae hutumia ID ya housegirl aje kukutandika viboko!Huyu nae atafute kiki mpya....
Au akajenge walk in closet kule kwake....
Kama sio kupapanga ili chumba kiwe na space na kuondoa mabegi juu ya kabati
Hata kiswahili pia hujuihii lugha hata mkuu inampiga cheka jaribu kutujari nasi kwa kiswavepeee
swissme
Yule mkongo ni mchawi, alimwambia binti wa watu auze kila kitu wanakwenda kuanza maisha SA. Amerudi anaanza moja.Wolper ana msongo wa mawazo. Mcongo kamla hadi utamu umeisha halafu kasepa. Mwacheni apunguze mawazo kwanza.
housegirl njoo huku kuna mtu wa kutandika viboko!Behaviourist mimi niliyepo jukwaa hili napenda umbea ila wewe uliyepo hapa jukwaa la umbea unapenda nini??? !Palizi????![]()
Housegirl ndo nani?housegirl njoo huku kuna mtu wa kutandika viboko!