beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Yule mkongo ni mchawi, alimwambia binti wa watu auze kila kitu wanakwenda kuanza maisha SA. Amerudi anaanza moja.
Uwe kwa lugha uliyoizowea... ubuyu wa kiswahili wanaojuwa kiingereza zaidi ya kiswahili hawaoni kama ubuyu wa kiswahili mtamu..Raha ya ubuyu uwe kwa kiswahili
Wolper ngozi yake ni nyeupe isiyo na kidoa na inaonekana ni smooth kama silk velvet! Huyu atakuwa ana kunywa maji mengi sana!
Haya maswali yanaweza kumpa bwana Harmonize pressure.Ni wa moto....!???
Mmh sijui kuna ukweli hapaLove is sickening.. Fame is much worse.. I'd advise Zari to just enjoy the ride coz men are naturally polygamists!
Have fun, love is for weak chaps!
Mpwa warumi kama nakuona vile unavyoangaika na dikshenari ili usipitwe na habari uliyoileta mwenyewe!