Zari is insecure over Jackline Wolper, not Wema Sepetu anymore

Zari is insecure over Jackline Wolper, not Wema Sepetu anymore

Wolper ngozi yake ni nyeupe isiyo na kidoa na inaonekana ni smooth kama silk velvet! Huyu atakuwa ana kunywa maji mengi sana!
 
Love is sickening.. Fame is much worse.. I'd advise Zari to just enjoy the ride coz men are naturally polygamists!
Have fun, love is for weak chaps!
Mmh sijui kuna ukweli hapa
1465991769028.jpg
 
Yaan mim nilivyokuwa nimeelewa ni kuwa zari hana tatizo na wolper ambae ssa wamekuwa familia moja ila ana wasiwasi na wema na kajala kumbe ni kinyume kabisa mweee kiingilishi hiki kiacheni tu
 
Ukitaka kumkomoa m-mbeya mwambie akuhadithie kwa kimombo.
 
Hao kinamama wote mi hata unipe bila kulipia mi siwataki. Yaani Bongo walivyojaa watoto wazuri eti haya manungayembe ndio top story kila siku. SMDH!
 
Back
Top Bottom