Wote wanaomponda kuwa alikosea kumuacha Ivan wanaongea tu hawajui ni kitu gani kilimfanya zari amuache Ivan na pesa zake na bata zake zote.
Wanawake uwa wanavumilia mengi as long as mwanaume ana ukwasi lakini ukiona mpaka kaamua kumuacha tena wakiwa wamezA watoto watatu ujue kachoka kuna kitu hakivumiliki.
Na jiulizeni pamoja na kuachana naye bado Ivan alimuamini kiasi cha kumuachia mali zake na bado aliendelea kuwa msinamizi wa baadhi ya vitu hata kipindi Ivan hajafa, so Ivan hakuwa mjinga huenda makosa yalikuwa ya kwake mwenyewe ndiyo maana alikubariana na hali