Zari katika maandalizi ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangia kifo cha Ivan

Zari katika maandalizi ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangia kifo cha Ivan

Kiufupi mkisha kuwa wazazi tena watoto 3 bado biashara mlikuwa partner lazima ananafasi kubwa Sana katika maisha ya zari,, Sio kujuta Wala nini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona ex hakuongelei kwa ubaya na mmezaa wote ujue upo close na watoto wako na financially unamsaidia mzazi mwenzako. Wanawake huwaongelea wanaume vibaya kama humsaidii chochote katika majukumu ya mtoto au watoto wako.
 
Wote wanaomponda kuwa alikosea kumuacha Ivan wanaongea tu hawajui ni kitu gani kilimfanya zari amuache Ivan na pesa zake na bata zake zote.
Wanawake uwa wanavumilia mengi as long as mwanaume ana ukwasi lakini ukiona mpaka kaamua kumuacha tena wakiwa wamezA watoto watatu ujue kachoka kuna kitu hakivumiliki.
Na jiulizeni pamoja na kuachana naye bado Ivan alimuamini kiasi cha kumuachia mali zake na bado aliendelea kuwa msinamizi wa baadhi ya vitu hata kipindi Ivan hajafa, so Ivan hakuwa mjinga huenda makosa yalikuwa ya kwake mwenyewe ndiyo maana alikubariana na hali
 
Back
Top Bottom