Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Uzi unakimbia huu chezea jina lenye bahati ZARI[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani we huwahi ona hata mi naongelewa na uzi ukakimbiaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hadi majagi mnaona v7tu vya ajabu sishangai
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo utanipa kila aina ya vyeo,numby ni panic button gusa uropoke ovyo hahaahah
Usinipe ban tu shooga huu utani wa jadi tu ,zari lazima asemweee mtu gani katembe na wanauke karibia nchi kumi wewe
 
Daimond anaweza ua mtu na anavyojua kuto...mba zari haki tenaa hivi sasa hivi kule chini mivuzi imejaa kama magoli waliyopigwa yanga na waarabu

Hutaki jamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] na mtoto wa bisandra alivyokua jeuri,haongei walaa yeye vitendo tuuuu!

Bibi anajiliza kila kona mondi kimyaaaa!!!
Bibi anatamani kujibiwa hajibiwi,anatamani kutukanwa hatukanwi,msamaha ndo asahauuu.

Ukiachwa achika dadaaa!!!
 
Na ile familia ilivyokuwa inamchimba inaumaa alikuja bila hodi kaondoka bila kuaga
Atasarenda na ndoa sooon alijiona keki kumbe maandazi tu
 
Yaan hata msamaha hajawai ombwa jamanii na kujiona malkia na yale mabangili yake kama bibi wa kilebanoni
 
Na ile familia ilivyokuwa inamchimba inaumaa alikuja bila hodi kaondoka bila kuaga
Atasarenda na ndoa sooon alijiona keki kumbe maandazi tu
Tena walikua wanamng'ong'a haswaa hakuna mnafiki km bi sandraa binamu!kutwa kushinda na dailani madale, IG anajifanya anampenda nillan mama mbaya yulee
Sio kwa kusimuliwaaa...kwa kuona binamu!!

Bi Sandra atakua mwanga sio buree

Yule hana hadhi ya Andazi yule ni kalimati!
 
haaaaha hahaa incubator "" daaahh ""
 
Yaan hata msamaha hajawai ombwa jamanii na kujiona malkia na yale mabangili yake kama bibi wa kilebanoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Diamond aombe msamaha amechelewa mnooo!!!

Mondi huyu huyuu!!!mibangili kama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aaahaa unaniangushaaaa mie sitoag ban kwanza sio mod pili ligi za hivi nazipenda sanaa nikikupa ban ntabishana na nani sasa.umbea sunna kusuntwa maelekezo,tuendeleeeeeeeee

Aiseee nyan haon kundl yaan kuna watu wanatumiwa naul mikoan kwenda dar ,dar dubai kukitembeza bado wanamsema zari uwiiii
Usinipe ban tu shooga huu utani wa jadi tu ,zari lazima asemweee mtu gani katembe na wanauke karibia nchi kumi wewe
 
Nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa meme alivyokuwa anajishebeduaa akajua kamteka dai kwa k gani aliyonayo ya kiganda sidhani hata kama inabana watoto wote walee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulijuaa tumepigana vita kubwaaa kumtoa nduli zari
 
Haya basi dozi imekutosha siku nyingine bana ,usiweke kinyongo mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…