Exactly. You have said a very important point. Hivi kweli watu walitegemea aendelee kuwa Nasibu huku amejua kabisa Nasibu havai mpira huko anako lala na akina Hamisa? Zari ana watoto 5 kesho kesho kutwa aletewe magonjwa wanae watatu wabaki yatima? Embu muacheni dada wa watu anajielewa sana. Huyo Hamisa anaona ameshiiinda, kwenda kulala na mwanaume na unajua fika analala na mwanamke wake na humwambii avae mpira. Aisee Ukimwi ukianza kuwachota nisisikie eti "Mapenzi ya Mungu". Hakuna cha Mapenzi ya Mungu kama unalala na mwanaume aliye na mwanamke mwingine bila kutumia kinga. Hayo ni Mapenzi yako. Zari akae mbali mnooooooo na Nasibu kama anataka aje aone wajukuu zake akiwa na afya njema.