Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Hamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
Mond naye pia akili hana hata km ana pesa. Ukimwona ana-zungumza unaweza kung'amua weupe wake
 
NYIE MLIOKAZANA KUJUA JINSIA YA warumi
mkishaijua itawasaidia nini?
mnauza chupi za kike na kiume kuwa mnataka kumnunulia au?
mnajaza kadi lake la kliniki au?
MNAFANYA NINI UZI ULIOKAA KIKE NA NYIE NI WANAUME?

si muende kwenye threads wanazokagua kende ndo wacomment!
huku mtuache na starehe zetu!
 
Mwaah binamu, waanbie hao, zari hana njaa kama hamisa, mtu unadhalilishwa mitandaoni na kuitwa ruba then ukiitwa kuvua chupi unajipeleka, yani shule muhimu sana , ki hamisa kizuri Ila kichwani hamna kitu
Zari alivyokua a anashikwashikwa makalio kama mtoto mdogo na ndoa hajaipata
 
Hamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
Acha fitna weeye
Wabongo lazima mumchukie hamisa kwa kua kamzali!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo asharudiana nae

Huyo bimkubwa wakoo acha alee nyau
 
Back
Top Bottom