Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Sasa Ana stress gani hela anazo na anaweza pata mwanaume yeyote ambae ni handsome boy na anayejielewa kuliko Domo. Maisha yamebadilika sana hawa wanawake wenu wasio na exposure ndo huwa wanapata stress za kijinga sababu kwao mapenzi ndo kila kitu. Usifananishe mtu anayetembelea Bentley na anayekojolewa kwa kukuhongwa vocha tu

Mwaah binamu, waanbie hao, zari hana njaa kama hamisa, mtu unadhalilishwa mitandaoni na kuitwa ruba then ukiitwa kuvua chupi unajipeleka, yani shule muhimu sana , ki hamisa kizuri Ila kichwani hamna kitu
 
Sijui kama yuko mwanamke atakayevumilia ule ujinga wa mondi.

Hata hivyo inawezekana mizizi ilichangia.

Tunaomba tu warudiane Kwa kesho ya wale watoto.

Kwa jinsi Domo alivyokua anakazana Leo insta kuwa nillan ni mtoto wake, lazima atarudi kwa zari, kwa hamisa Hana kiki wala hakuna anayeshoboka
 
Hata zari alianikwa akaiabishwa na akaachwa juu

Bora yeye alikua First Lady , alikua anapostiwa kila siku wako wote , domo kwenye arobaini ya nillan alikimbia, akaenda kumfanyia nillan south , chezeya zari weye, hamisa ni side chick aka nyota ya bundi kungaa usiku , yan mwanaume anaona aibu kusema Ana date nae , lol kama Mimi hamisa bora nijitoe, raha ya mahusiano kutangazwa hadharani, hamisa hata ukweni hakubaliki mxieeew
 
Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
Ni ujuha kudhani kuwa mondi amekonda kwaajili ya Zari..Mondi ni mwembamba in nature na kilichomfanya aonekane mnene ni mazoe ya gym ambayo ameyaacha kwa sababu anazozijua mwenyewe kabla hata hajaachana na Zari.
 
Hamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
 
Dai mojawapo ya mambo yanayompa stress Kwa sasa ni kile kitendo cha mwanamke alivyomrubuni mpaka kumnunulia jumba la thamani kubwa kule Africa Kusini!
Itakuwa inamuuma sana Dai maskini kaingizwa mkenge!
Yule mwanamke ana vinasaba vya Kama wanawake wa Kimachame machame kabisa!
I sorry to say that!
RIP Ivan!
 
Hahahahahahahaah mwenye uzi nakuonaaa,kata shombo zooteee,watu wanasifia tununu kinafiki
Bora yeye alikua First Lady , alikua anapostiwa kila siku wako wote , domo kwenye arobaini ya nillan alikimbia, akaenda kumfanyia nillan south , chezeya zari weye, hamisa ni side chick aka nyota ya bundi kungaa usiku , yan mwanaume anaona aibu kusema Ana date nae , lol kama Mimi hamisa bora nijitoe, raha ya mahusiano kutangazwa hadharani, hamisa hata ukweni hakubaliki mxieeew
Hamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
 
Hamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
Lazima daimond akimbie mishavu imeshuka
Screenshot_2018-05-10-22-44-11.jpg
 
Wakati huo Zari ana mvumilia umalaya wake wanakuwa wana sex kavukavu au kwa kutumia Condoms??? Maana na hii risk ya magonjwa hebu muacheni Zari alee wanae wa 5 kwa Amani. Au mnataka Afe wanae wateseke???
 
Back
Top Bottom