Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
hahahaahahahahahahahahahahah stress mbayaUzee haukwepeki kwa kweli.
Ana stress sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaahahahahahahahahahahah stress mbayaUzee haukwepeki kwa kweli.
Ana stress sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haahahahahhaahahah mfuatilie warumi anadanga canada kachoka wabongo hamna pesa
Heee mtabaki wenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanume wa bongo tuvumiliwe jaman vyuma vimekaza
HahahahaHeee mtabaki wenyewe
Hhahahaahahah mmezidi kuwa bahilii acha twendeHahahaha
Mnakimbilia nje sana jaman
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hhahahaahahah mmezidi kuwa bahilii acha twende
Nendeni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wacha tujisitiri Rwanda na Congo
Cha pombeUmenipiga chenga Mkuu, Ahmada ndiyo nini!?
Mond naye pia akili hana hata km ana pesa. Ukimwona ana-zungumza unaweza kung'amua weupe wakeHamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
Mnahoji kuhusu jinsia yake mnataka awaambie size ya pedi anavaa au ya kondom ili mumnunulie au?Huyu jamaa hata mimi nimebaki nawaza kuhusu jinsia yake.
Kutangazwa ndo kupendwa chenye thamani kinafichwaa!!Ila hamisa Ana gundu, couple yake na domo hata haionogi , mbona diamond anajificha ficha hata amtangazi mmh hamisa nae Ana moyo, side chick ndo hadhi yake
Zari alivyokua a anashikwashikwa makalio kama mtoto mdogo na ndoa hajaipataMwaah binamu, waanbie hao, zari hana njaa kama hamisa, mtu unadhalilishwa mitandaoni na kuitwa ruba then ukiitwa kuvua chupi unajipeleka, yani shule muhimu sana , ki hamisa kizuri Ila kichwani hamna kitu
Acha fitna weeyeHamisa mzuri Ila akili hana, diamond hawez kuoa chizi kama hamisa, yule mtoa burudani tu , kwanza hamisa maskini kutwa kumchuna diamond , kazi ya maana hana, elimu Hana
Nyie mbona mwaoa nje?Hahahaha
Mnakimbilia nje sana jaman
Maisha mafupi burudani lazima[emoji1] [emoji1] [emoji1]Aiseee
Hakika[emoji1] [emoji1]Maisha mafupi burudani lazima[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Huku ni zaidi ya burdaani full kuinjoi!!!karibu sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakika[emoji1] [emoji1]