Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sikimbiagi kivuli changu mie
Kakufanyaje mbona kubadili usernam ni kipenda roho ,hata we badili tu ukipenda mama
Nipanic nini sasa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sikimbiagi kivuli changu mie
We niambie mimi au unataka ray nini maliza leo povu kumsema zari hatuachi labda utuhomge range ya zodwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zari tajiri wa majina toka bibi hadi mamkubwa waaaaiiii mazeee mpo vizuri[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Zari akikuwa anavaa mawigi kama katanii,alikuwa anapaka wanja umekata kona kama jembe
Atushukuru watanzania kwa kweli
Mamkubwa anapiga picha hadi na majagii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ha hahaa ngoja waje "" ""
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijawah zuia mtu kumsema zari acha kujishtukia kama umejamba mbele za wakwe,zari superstar kusemwa na follower wake,admirer wake ni jambo la kawaida. Teeeynaa ndo mnampaisha vizuri kabisa.

Mambo ni moto hadi zondwa mnamfahamu leooo mtataja majinaa yoooteee hahaah
We niambie mimi au unataka ray nini maliza leo povu kumsema zari hatuachi labda utuhomge range ya zodwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binamu UKIACHWA ACHIKAAAAAAAA.......!!!!!panicking at ur own risk!!!!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23]

Kunya mi ntazoaaaaaaaa!!!!!
Hahahahahaha nakunya natapika pwaaaaaaaaa zoa binam,,misa anaolewa lini vile zari ndio atapiga picha hadi na teddybear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…