ni vigumu sana kupata topic za ukawa na ccm kwenye hii forum,sema na wewe ni utumbo sana kusoma habari za le mutuz
Siasa katika celeb forum acheni u kanyaboya
Hahaahahhaha thread imevurugwa balaaa. Siasa na celebrity wapi na wapi.
Mtoa mada pole mkuu watu wanaonekana unawaboa.
Dada inaonyesha unahasira sana na Chibu vp wewe ni Wema au Joketi nini mana unakasirishwa na visivyokuhusu kama Chibu kabambikwa wewe kinakuuma nini utapungukiwa na nini ??????????? acha hizo keshakuacha fanya maisha yako na hakurudii tena.Ebu niache bwana!
Domo na kimba lipi neno zitto??
Afu usiniongeleshe kiingereza, shule ulinilipia ada??
Afu wewe sio wa kuongea ustaarab.
Wacha unafiki.
Huyo Pinto mtoto wa Zari wa Kwanza alipokuwa kichanga...
Huyo king ni chizi tu maumivu hayajapungua mpaka leo anajuwa atawadanganya wapuuzi kama wewe
Dada inaonyesha unahasira sana na Chibu vp wewe ni Wema au Joketi nini mana unakasirishwa na visivyokuhusu kama Chibu kabambikwa wewe kinakuuma nini utapungukiwa na nini ??????????? acha hizo keshakuacha fanya maisha yako na hakurudii tena.
Eti Wema naomba nikuulize hivi ile nyota uliyokuwa unajisifu Chibu anasafiria wewe mwenyewe haiwezi kukusaidia wala kile kimsanii chako ??????????Buha ha haaaaaaa!
Mimi ndo Wema na joketi.
Kinaniuma sana kichwa kuachwa.
Nakasirishwa sanaaaaaa
Na atanirudia soon..
Hapo vepee?!
Eti Wema naomba nikuulize hivi ile nyota uliyokuwa unajisifu Chibu anasafiria wewe mwenyewe haiwezi kukusaidia wala kale kimsanii chake ??????????
Baby tiffah
Huyo Pinto mtoto wa Zari wa Kwanza alipokuwa kichanga...
Huyo king ni chizi tu maumivu hayajapungua mpaka leo anajuwa atawadanganya wapuuzi kama wewe
mi nawaambia hivi siku daimond(domo) akimpa mwanamke mimba tanzania inachukua world cup huo mwaka coz umalaya wote huo hata wakusingiziwa hana
1.nay (watoto watatu kila mmoja mama yake)
2.sheta (baba kaylah
3.temba,madee ,tunda ,belle tisa wote wana watoto barnaba nk.
note :kaiskilize nyimbo ya "NIKIFA KESHO YA DAIMOND" halafu urudi kuchangia hapa pumbavuu
tafuta hilo gazeti usome kwani mi ndo nimeandika hilo gazeti we vp jipatilize mi sibishani na mburulazWivu wa kike...mmtanyooka tu