Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Yani umekaa kwenye laptop yako ukaacha kufanya kazi zingine ku post utumbo uhuu? Aisee tuna kazi sana
 
Duh hii inachoma sana yani Latiffa shz almost 1day old baby na anafollowers wanamkaribia King of all bongo social media mwenye 56 years old dah this world is not fair.
 
Mwachen le akili kubwa atawapostia picha za super mutindizi kutoka asas iringa hahahahahahahahaha mazafanta amaizing
 
Le mutuz akuwa King tuu...

Tiffah atakuwa Queen..

Napita tuu Wakuu
 
Dah...kuna baadhi ya watu waliocomment kwenye hii thread wanajikuta ndo wana akili nyiiingi kuliko mleta uzi,na wakati kumbe wao ndo wana akili ndoogo kbs kwa kushindwa kujiuliza maswali madogo sna ambyo hayaitaji ata akili kubwa kufikiria

1-kwanini aliyecreate jamiiforums aliamua kuweka majukwaa tofauti tofauti kwa ajili ya mada mahususi?
2-je mleta uzi kaleta uzi kwenye jukwaa gani?
3-jee mleta uzi kaleta uzi kwenye jukwaa sahihi au la?
4-jee uliyekuja kusoma huu uzi baada ya kusoma title yake ulilazimishwa kuusoma na kucomment?

Ukishajiuliza haya maswali.madogo kabisa jipe majibu mwenyw..kisha tafakari nafasi yko na mleta mada,hlf jiulize nani poyoyo/tozobi kati ya weye unayeleta siasa kwenye jukwaa la macelebrities na mleta mada aliyeleta mada ya celebrities kwenye jukwaa la celebrities?
 
Hahahahaha uknw mtoto wa diamond mimi ndio nilipendekeza jina uknw na ndio nilishauri afunguliwe account...
Uknw kwa sababu wewe ni lemburulaz,debe tupu hujui kama mimi ndio na control hiyo account uknw....

Uknw mimi na Latifah ni macelebrity wakubwa kwa hiyo nafurahi kuona ujio wake uknw.... supergadem mazafantaz unapiga kelele wakati mimi naingiza hele uknw..
hahahhahahaha i like it..
 
Mi nashauri hao ma king na Queen waoane tu

Hahahahahaha nimecheka sana mkuu Lile babu Le Mutuz limeniblock eti sababu nimemuuliza umri wake.nasikia wamepishana siku 2 za kuzaliwa na pinda.pinda mwenzake anastaafu yy anahangaika na ukuwa.di
 
Yani umekaa kwenye laptop yako ukaacha kufanya kazi zingine ku post utumbo uhuu? Aisee tuna kazi sana
ni vigumu sana kupata topic za ukawa na ccm kwenye hii forum,sema na wewe ni utumbo sana kusoma habari za le mutuz
 
234.jpg

Hatimaye Siri ya Mtoto wa Zari Yajulikana baba halisi wa mtoto ajitokeza.

#Wabambikizwaji
 
Back
Top Bottom