Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beseni na chupa ya mtori vinakuhusu
Na picha 4 za mtoto nimerushiwa na mfanya kazi wa hapo agakhan mwenye buku ten
Yani umekaa kwenye laptop yako ukaacha kufanya kazi zingine ku post utumbo uhuu? Aisee tuna kazi sana
hahahahaha jf rocks duu Latifah vs Lemutuz..Hahaaaaaaa makubwa madogo yana nafuu zawadi Huawei[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Hahahaha hivi kuna mtu ana followers zaidi ya laki moja lakini sio maarufu? nitajieni
Baby tiffah
Mi nashauri hao ma king na Queen waoane tu
ni vigumu sana kupata topic za ukawa na ccm kwenye hii forum,sema na wewe ni utumbo sana kusoma habari za le mutuzYani umekaa kwenye laptop yako ukaacha kufanya kazi zingine ku post utumbo uhuu? Aisee tuna kazi sana