mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Diamond amenitumia picha sasa hivi kwenye namba yangu ya whatsapp nikiamka nitaziweka
Hongera sana kwao kwa kupata little princess. Mungu awakuzie
Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh