Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Diamond amenitumia picha sasa hivi kwenye namba yangu ya whatsapp nikiamka nitaziweka

Ahahah binamu katika ubora wake, nimekumis sana jombaa, mi toka jana domo alinitumia video wakat zar anajifungua ninayo
 
Hatimaye unaitwa baba, hongera sana. Be a good dad.
 
Domo akidanja leo huyo mtoto harithi hata kijiko cha chai
 
Ama kweli dunia ina mambo! Wakati wengine wapo Instagram kwa zaidi ya mwaka mmoja lakini hawajatimiza kupata angalau followers 1000, Mtoto wa Diamond Platnumz & Zarina Hassani, tayari ana Followers zaidi ya 20,000 chini ya saa 24! Mbaya zaidi, idadi ya followers inamiminika kama njugu kiasi kwamba, hadi kesho mida kama hii, kuna uwezekano akawa ametimiza Followers 100,000.

Tiffa 001.jpg Tiffa 002.jpg
 
Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh
 
Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh

kawaida tu mkuu maana wa
qylla wa shetta anayo
Prince unju wa kiba anayo
Wa aunt ezekiel anayo
 
Back
Top Bottom