The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Hahaaaa east Africa princess sintah kaandika
Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh
Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh
pole kijana...............ila pigana na ww wa kupost humu ndani yaonekana imekuumakwa hyooo
pole kijana...............ila pigana na ww wa kupost humu ndani yaonekana imekuuma
kwa mkuu wewe unawaoneaga kijicho watu wakusaidiao.............iniume kwa lp?ananisaidia nn?
Domo akidanja leo huyo mtoto harithi hata kijiko cha chai
Mie kuna sehem nimekoment nifolow kuweza kujionea picha za Princess Tiffa
Dangote ..nimekuta request kibao hapa nikituliia nianze kuwa add
Domo akidanja leo huyo mtoto harithi hata kijiko cha chai
Na picha 4 za mtoto nimerushiwa na mfanya kazi wa hapo agakhan mwenye buku ten
Mtoto ni malaika, mtoto ni kiumbe ambae moyo wake mweupe kama barafu, mtoto hana chuki wala hana adui,
Lakini hii tabia ya kuzaa zaa bila ndoa hivi dini gani inaruhusu? Kuzaa watoto wa uzinzi haijakaa vizuri hata kidogo,