Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Iki ndo kizazi cha digitale, mtoto anazaliwa na kufunguliwa IG account doh

Afu ni kumbrand mtoto pia, coz ujio wake ni habari kubwa saana

Mda mchache tu toka azaliwe ashapata deal na endorsements duka la nguo (salaam kapost ndio anaenda kukamilisha deal)

Who knows makampuni yanaweza mtambua kuwa balozi wao...?? Kwa hype aliyopata ni nooma haijawahi tokea mtu apate zaidi ya 20k per day hata lulu livyorudi insta kwa mara ya pili hakupata followers kiasi hicho kwa siku
 
Daaah nikaingia kwa haraka nikajua ni mtoto wa dangote wa Nigeria kumbe ni huyu wa magogoni.
Hongera kwa kuwa baba chibu dangote.
 
yaani huyo mtoto nazani atakua kapgwa picha kwanzia lebaaa
 
Kuongeza followers sio mchezo mimi binafsi nina followers 123 ndani ya miaka 3
 
hawa watu wanajua kutafuta PESA.....

sishangai wakianza kutengeneza pesa kupitia account ya huyo mtoto....

kule marekani picha ya mazishi ya mtoto wa whitney imeuzwa kwa bei ghali sana....
 
Mtoto ni malaika, mtoto ni kiumbe ambae moyo wake mweupe kama barafu, mtoto hana chuki wala hana adui,
Lakini hii tabia ya kuzaa zaa bila ndoa hivi dini gani inaruhusu? Kuzaa watoto wa uzinzi haijakaa vizuri hata kidogo,

Hakuna mtoto wa uzinzi. Ndoa ni mipango ya mtu huwezi kuoa kama nafsi yake haijakubali Ila mtoto anakuja kwa mapenzi ya mungu no matter amekuja kipindi gani. So far hizi dini na historia ya afrika ni mambo mawili tofauti sana.
 
Back
Top Bottom