pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
pointless kwa hiyo domo anapendwa zaidi afrika kuliko wizkid na davido?
We si bure utakuwa ni mchawi umejuaje kama mimi nina bichwa kubwa ??????? Kwa sasa ukitaja " domo" ni kama umezitaja a.k.a zake zingine na ndo unazidi kumpromoti,na hao unaowafagilia wewe sijui ndo wenye midomo mizuri hawamuingii huyo "domo" kwa lolote si kwa tuzo,si pesa, si kwa matamasha,si kwa kuuza t shirt, si kwa kupiga dili za matangazo, si kwa umaarufu na hata kwa kupendwa zaidi na watu wengi barani Africa kuliko wasanii wote TZ na Africa mashariki kwa ujumla