conc acid
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 728
- 439
'provide' is a relative term,na malezi hadi mtoto ajitegemee si mchezoo
Kila mzazi anajua what he/she must provide kwa wanae, as long as yupo satisfied na anavyo-provide azae tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'provide' is a relative term,na malezi hadi mtoto ajitegemee si mchezoo
Kuongea hivyo kwani mtoto wake was mwisho anaumri gani? Inamaana tkea amzae bae hajafanya muache azae babueeeeAkili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
Tatiza la miAfrica mkuu hata usishangae.Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
Hamna vita mbaya kama vita ya utumwa, vita vya bunduki unaweza ukavimaliza kwa masungumzo ila vita ya utumwa haishii milele!! Unawatukuza sana wazungu wee jamaa hyo ni mila zetu mababu zetu walikuwa na watoto wasiopungua 15+!Tatiza la miAfrica mkuu hata usishangae.
Sio kwamba amekatazwa kuwa na watoto idadi anayoitaka,juzkati tu ametoka huko kujifungua mtoto sijui hatakama amefikisha miaka miwili na sasa huyo mwingine tena ndo watafatana kama stage za vidole.Hamna vita mbaya kama vita ya utumwa, vita vya bunduki unaweza ukavimaliza kwa masungumzo ila vita ya utumwa haishii milele!! Unawatukuza sana wazungu wee jamaa hyo ni mila zetu mababu zetu walikuwa na watoto wasiopungua 15+!