Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
Kuongea hivyo kwani mtoto wake was mwisho anaumri gani? Inamaana tkea amzae bae hajafanya muache azae babueeee
 
Huyo Mwanamke wa Shoka!
Kwanza anazaa kwa "kupush" wadada wengi hawataki papanuke huko chini wanataka "operation" wamesahau kuwa ile kitu ni kama Mpira!
 
Dah mimi na mama chanja wangu tunabishana kuhusu kuongeza namba wakati dogo Ana miaka 3+ bado tunaona mdogo sana,kumbe huko kuna wapemba style huyo tiffa amefika hata mwaka mmoja kweli?
 
Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
Tatiza la miAfrica mkuu hata usishangae.
 
ivi ni wanandoa au ni ndondo cup kma mm apa?
 
Tatiza la miAfrica mkuu hata usishangae.
Hamna vita mbaya kama vita ya utumwa, vita vya bunduki unaweza ukavimaliza kwa masungumzo ila vita ya utumwa haishii milele!! Unawatukuza sana wazungu wee jamaa hyo ni mila zetu mababu zetu walikuwa na watoto wasiopungua 15+!
 
Kha!!
hivi kuna watoto haramu??
jamani tusitamke tusivyovijua!
Mwache ajizalie tu ZARI.Kwani tatizo liko wapi?
Au kaomba msaada kwa mtu wa kulea watoto wake??
Amepanga/wamepanga wameona yafaa kuzaa na watamudu kulea watoto wao!!
 
Hamna vita mbaya kama vita ya utumwa, vita vya bunduki unaweza ukavimaliza kwa masungumzo ila vita ya utumwa haishii milele!! Unawatukuza sana wazungu wee jamaa hyo ni mila zetu mababu zetu walikuwa na watoto wasiopungua 15+!
Sio kwamba amekatazwa kuwa na watoto idadi anayoitaka,juzkati tu ametoka huko kujifungua mtoto sijui hatakama amefikisha miaka miwili na sasa huyo mwingine tena ndo watafatana kama stage za vidole.
 
Zari anapiga la pili mtu bado yupo tu anahangaika na mitandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…