Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Hao watoto hawana hata hofu km wanaenda kwenye shoo ya diamond, kweli mdg mdg tuu, hapo njemba zinapanga kuwagaraza, km kweli zari ana maanisha Basi awapiganie mapema, la sivyo watarith makapeti, Hii dunia hii.....
 
Madogo washaanza kuzoea mazingira naona wana smile
Safi
 
Madogo washaanza kuzoea mazingira naona wana smile
Safi
Maumivu bado saiv ni mapema sana wanadhan labda atarudi au maisha yataendelea vile alivokuwepo dady wao
Kumbeeeeeee tofaut kabisaa

Acha wakue wakianza kufil gap ndo machungu watayaona
 
Wadau wamtukana zari baada ya clip hii akigonga kinywaji walipokuwa akielekea kwenye mazishi kuvuja.
Je asinywe kinywaji?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…