Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu bado saiv ni mapema sana wanadhan labda atarudi au maisha yataendelea vile alivokuwepo dady waoMadogo washaanza kuzoea mazingira naona wana smile
Safi
hahahaha hii post imenichekesha sana......Hivi Chibu anajua hata KUSOMA na KUANDIKA?
Daddy kumbe alikuwa SANGOMA MUUZA NGADA?Madogo washaanza kuzoea mazingira naona wana smile
Safi
Rudia kusoma alivyoandika na nilivyomjibu.
Labda ya ugandaTanzania
mbona hamna shidaMkuu tayar alishakutangulia huyu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Umbeya mpaka kwenye chupi jaman hance sikukutegemea Mungu anakuona