Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Tatizo wapi?
Pia ana mdogo wake wa kiume mkubwa angewaleta lakin bibie kwa camera kamsahau hadi kingbae
Hapana aisee. Tifa hata kama ni mdogo still ni msichana uncle wake hawezi mpeleka washroom. Wale ni watoto huwez wapeleka kama mzigo tu isitoshe unavuka nchi sio kama unatoka ilala unaenda temeke. Mimi kama mama sishangai zari kuwaleta watoto wake nchini.

Camera zenyewe ndio zina shobo kama mtu ukiamua ku mind your own business zari atatrend saa ngap.
 
Sawa mama πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…