Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Zari the Bosslady kashatua mjini, swali je atafikia Mbezi Beach kwa domo au hotelini?

1604578469507.png
1604578495455.png
 
Zari imebidi arudi kwa diamond maana alishaanza kusahaulika, diamond awe makini Sana na zarina kwa sasa kwa aliyomtendea wanawake hawasahau wallah. Atleast hao watoto wataona baba yao maana ugomvi wa wazazi uliwaathiri bure watoto wasio na hatia
 
Zari imebidi srudi kwa diamond maana alishaanza kusahaulika, diamond awe makini Sana na zarina kwa sasa kwa aliyomtendea wanawake hawasahau wallah. Atleast hao watoto wataona baba yao maana ugomvi wa wazazi uliwaathiri bure watoto wasio na hatia

Nimefurah kama nini Zari kurudi kwa domo, abebe tena mimba nyingine, Piga kelele kwa zari akeeeee
 
Back
Top Bottom