Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari na wanaye (Tiffa na Nillan) watua Tanzania

Zari imebidi arudi kwa diamond maana alishaanza kusahaulika, diamond awe makini Sana na zarina kwa sasa kwa aliyomtendea wanawake hawasahau wallah. Atleast hao watoto wataona baba yao maana ugomvi wa wazazi uliwaathiri bure watoto wasio na hatia

Yaan anapenda media mno kwa yalotokea angetuma tu watoto lakin kamis dram na dudu
 
Back
Top Bottom