Zari new looks

Zari new looks

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Hii picha imenirudisha mbea mimi mjengoni kwa kweli , mama tukinao kajua kudamshi bhana aiseh , she looks so fine n clean , nikianza maneno mengi ntaaribu[emoji16]...

Btw wacha tusubiri baby shower ya new upcoming mother in town , maana sio kwa mbwe mbwe hizo instagram , utadhan domo ndo mtoto wake wa kwanza, mxieew

IMG_2521.JPG
IMG_2522.JPG
 
Hiv unaga story nyingine kila siku wewe ni zari tu kila Uzi wa zari lazima ufunguwe wewe.
 
yule mwanamitindo wake anaemvalisha bado yupo hapo kwa madiba
 
Hata kwa Ivan watu walisema hivyo. Mapenzi yakiisha yameisha. Msijitese kulazimisha kukomba asali iliyogeuka shubiri
Namsalimia binamu yangu MARERE MATONYA popote pale alipo salamu zimfikie,ujumbe arudi Dodoma kumenoga.
 
Time has the reality on limits we have to respect its dynamics all along. Time ahead of oldnes
 
Kwa umri wake hizi ndio ngua za kuvaa ila maziwa awe anayafunika na nguo haaaaa
 
Back
Top Bottom