Tetesi: Zari ni Mjamzito tena!!!


Diamond amtafutie kazi ya heshima mama yake afanye haya mambo ya kwenye mitandao na kuzunguuka kwenye shoo sijui awaachie kina wema sepetu...maana huyu mama nae anataka umaarufu utadhani kitu gani mara anataka aonekane kwenye videos mara nae aende kwenye shoo mwisho wa siku utakuta anadhalilishwa na vijana bila sababu...mama tulia mwanao akuletee pesa hayo mengine hayaendani na umri wako
 
unajua gaya anayoyafanya sasa hakuyafanya huko nyuma juu ya umasikini ...mana yake hata smart phone hakua nayo masikini...........leo hii anakatiza na yeye ulaya anayaona mengi
 
Wacha mama 'ale ujana'. Duniani ukishaondoka, hakunaga kurudi.
Mama Diamond akifanya usafi kwenye nyumba yake ya Tandale hivi karibuni.
Mama wa staa mwenye jina kubwa Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kasimu ‘Sandra’ amedaiwa kufanya kufuru ya aina yake kwa kununua mtaa mzima, Tandale-Uzuri jijini Dar na kuikarabati nyumba yake aliyokuwa akiishi zamani kwa kutumia takriban shilingi milioni 100.
MAMA YAKE DIAMOND AFANYA KUFURU HII ~ Blogu ya Wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…