Tetesi: Zari ni Mjamzito tena!!!

Tetesi: Zari ni Mjamzito tena!!!

Diamond amtafutie kazi ya heshima mama yake afanye haya mambo ya kwenye mitandao na kuzunguuka kwenye shoo sijui awaachie kina wema sepetu...maana huyu mama nae anataka umaarufu utadhani kitu gani mara anataka aonekane kwenye videos mara nae aende kwenye shoo mwisho wa siku utakuta anadhalilishwa na vijana bila sababu...mama tulia mwanao akuletee pesa hayo mengine hayaendani na umri wako
Mama atakuwa mshika dawa Hata simba na yanga wapo watu hao.
 
Hawa watoto na mimba za kuwekwa humu JF mi naona kama wote tunagharimia, maana tunalipia bundle na WiFi zetu kila mwezi.
 
Hawa watoto na mimba za kuwekwa humu JF mi naona kama wote tunagharimia, maana tunalipia bundle na WiFi zetu kila mwezi.
oooooooooooooooppppppppsssssssssssssss
 
Kwani kuna la ajabu hapo?
celebrity mkuu ameona aitumie fursa maana kwa taarifa yako Diamond nadhani hajagusa hata mia kwenye malezi ya Tiffah hivyi ameona muda huu akiwa ana shine atundike ili na wapi apate wadhamini
 
Lile domo la tifa lilivyo kubwa vile na kulegea ka la babake limewanyamazsha wengi..Oohh diamond hazai.Hana uwezo wa kumpa mimba...tunataka dna"huu wimbo sijui uliishia wapi?
Kadri mtoto anavyokua anawaumbua mashangingi wanabaki roho zinauma.
 
Hivi seriously mamake domo kaafiki domo atoke na mmama wenye watoto wa3. Hivi katika maisha ya kawaida inaingia akilini?
Au kuna kitu nyuma ya pazia maana naona madogo wa WCB ni full kutembea na midada iliyotembea kilometres za kutosha. Na huyu rich mavoko sijui ataenda kwa madam benchmark
 
Hivi seriously mamake domo kaafiki domo atoke na mmama wenye watoto wa3. Hivi katika maisha ya kawaida inaingia akilini?
Au kuna kitu nyuma ya pazia maana naona WCB ni full midada iliyotembea kilometres za kutosha.
mambo ya kamati hayo
 
Back
Top Bottom