Nyie leeni mtoto wa katunzi bana, acheni.kelele hahahahahhhaahaahahhahahahaha, mwenyewe zari anawang'ong'a tu
Huyu Zari na aliyekuwa mumewe Ivan hawajaachana wanatengeneza pesa kwa kutumia migongo ya watu! mme wa Zari anajua Zari yupo kazini na mimba aliyo nayo Zari ni ya mumewe Ivan! hamtaki mnaacha kama ilivyo ila ukwel ndio huo! hapa mjini Diamond anatumia kama kuwatengenezea watu wengine pesa !! mnao subiri picha za mtoto wa zari hatajifungulia tz na wala hamtaona picha za mtoto! Diamond kaingizwa mjini! hutak unacha!
Wewe umejuaje wa katunzi wakati hajazaliwa?
Antidiamond at work!
Katika ubora wao uleule!
Anti ya ushog au mpinga
HIi ishu watu wanaizungumzia sana, maskini diamond, kakubali kutawaliwa na umaarufu, yupo radhi kupokea aibu na fedheha, kisa tu umaarufu dah!! Ni sheedah
HIi ishu watu wanaizungumzia sana, maskini diamond, kakubali kutawaliwa na umaarufu, yupo radhi kupokea aibu na fedheha, kisa tu umaarufu dah!! Ni sheedah
Nimesoma uzi wote na picha zilizowekwa na mleta mada ni chakachua, kuna mtu kafutwa pembeni kwa Zari.
Ok ila pia nimeona picha za mdau juu kumbe za wiki zaidi ya arobaini zilizopita, sasa mimba alimpa lini na inajulikana pia hawatoki wote.
Picha alizorusha mdau juu umeziona? Ndio hakuna tabu kushikiria hoja ila wengi mnakazania hoja hii bila kuandika sababu kutufanya tuwaelewe. Mnataka kujisikia raha tu kuwa mumeandika kwenye uzi.
Mnavyosema ya katunzi basi shukeni mueleze kwanini? ili mueleweke. Nimekusoma kabla umekuwa unafurahia sana hoja hii kuhusu D kuwa hazai etc. Sasa toa sababu zako ukumbi ni wako.
Huyo Katunzi anajishughulisha na nini?
Mbona hizo picha za zamani? Shingongo bhana hii habari lazima ime haririwa na yule mdada.
Nakupa hoja zangu tatu au nne au ata kumi nikiweza
Kwanza, DIamond alivyokuwa na wema alidanganya kuwa alimpa mimba wema ila ikatoka, mara mbil nakumbuka, ila walivyoachana, wema alikana diamond hakuwahi kumpa wema mimba, shaka kwa nini adanganye kuwa kamtia mtu mimba wakati sio kweli? Ina maana haziamini shahaw zake au hajiamin kama anaweza mpa mtu mimba? ,kwa nini adanganye?? Nataka jibu apa
Pili, alivyokuwa na penny pia alisema hvyo hvyo kuwa alimpa mimba hadi akamnunulia brevis ya kwendea clinic, ila walivyoachna, penny akasema diamond hana uwezo wa kumpa mwanamke ujauzito.na haukuwahi kupewa mimba na diamond , hii kauli wolper aliwahi izungumzia pia kipindi kile walivyoachana, kwa nini adanganye??
Tatu., diamond ana historia ya kutoka na wanawake lukuki ila hajabahatika kupata watoto ata wa kusingiziwa, kuhusu mimba ya zari na katunzi nitarudi
Wewe umejuaje wa katunzi wakati hajazaliwa?