Zari, pedeshee Katunzi laivu!

Zari, pedeshee Katunzi laivu!

Kumbe Zari alikuwa anakuja kwa Katunzi,ndo akakutana kwenye ndege na Diamond,kila kitu kikabadilika.Kawa na katunzi muda mrefu alivyoona hapati fame ikabidi ahamie kwa diamond na mimba yake,Diamond itabidi ukapime DNA,usije uziwa mbuzi kwenye gunia bure,bora ungeowa menina tu

Duuuuh ila naona wa2 wanasingizia kwa sura y domo hakuna haja y DNA zaidi y kucheki domo l mtoto 2
 
Shigongo mshakunaku kweli, ipo siku huu udaku wake utampwelepweta hadi ajute kuzaliwa. Wakati mwingine anapaswa kujali ubinadamu kuliko pesa, mtu ana mimba halafu anaanza kutaka kumvunjia ndoa yake, kwa nini asisubiri dada wa watu akajifungua? Au lengo ni kumpa stress dada wa watu ili mimba iharibike?

Mwache atupe ubuyu, tulia si umesikia anaandaa picha? Hahaa tulia, angekuwa wema ubngefurahi sana
 
Nilishasema naona anguko la diamond,. Na anguko lake ni mashauzi yake, anyway aliona amepata hilo jike gumegume, hahahhaha pole
 
Duuuuh ila naona wa2 wanasingizia kwa sura y domo hakuna haja y DNA zaidi y kucheki domo l mtoto 2
Mtoto anasubiriwa kwa hamu,sura ya mtoto itasema yote,ila DNA ni muhimu ndo inakonfirm kila kitu,hata kama mtoto hajafanana na baba yake
 
kuna aliesemaga humu eti alilala na katunzi no picha zaidi ya hiyo moja wakiwa na wenzao Sintah etc Katunzi ndio rafiki za TZs.

Sasa wakasema alipata mimba 14 Sept 2014 na muda wa kujifungua ndio kama 8th June. So haya ni kuhesabu alikutana na D lini na atazaa lini maana mimba haiwezi kuzidi tumboni kwa mawiki labda kama mwanamke karushiwa juju la nguvu style zile au kutofata mila.
 
Kwani hyo sheria ya mitandao haihusiani na magazet ya udaku?sasa kama mimba ya sept it means alimcheat wema,?mana hadi October birthday walionekana wako na wema
 
Mtoto anasubiriwa kwa hamu,sura ya mtoto itasema yote,ila DNA ni muhimu ndo inakonfirm kila kitu,hata kama mtoto hajafanana na baba yake

Mweeeeh kwa zile lips z baba hakuna haja y DNA mana hazikwepeki
 
Fan wa Zari Insta ( who_iz_the_boss )kwa miaka mingi nenda rudi kama waTanzania wengine wachache kabla hajakutana na Diamond. Na wengine tuliomjulia kwenye Sporah Show ya mtanzania Uingereza na wengine pia kwa blog ya rafiki Sintah(mtanzania).

Interview ya kwanza hii 2012
https://youtu.be/OP0KVY_5_U4

Interview ya pili hii 2013
https://youtu.be/oW62WbEEBRA

Wengi pia hawamjuagi haya kichembe so enjoy kumsikiliza.
 
Attachments

  • 1431108006990.jpg
    1431108006990.jpg
    46.8 KB · Views: 355
  • 1431108017874.jpg
    1431108017874.jpg
    65.3 KB · Views: 342
Last edited by a moderator:
Kwani hyo sheria ya mitandao haihusiani na magazet ya udaku?sasa kama mimba ya sept it means alimcheat wema,?mana hadi October birthday walionekana wako na wema

No mimba ya september wanayosingizia alilala na huyo kaka Katunzi. Posts zimo humu jf waliyoandika.

Hapa Diamond walianza Nov...nakumbuka kuona Zari amepost picha wamekutana kwenye Ndege nijisemea wow both wako michuma. Labda watatoka wote na ikawa...picha zilikuwa nzuri na walisafiri kutoka SA hadi Dar.
 
Back
Top Bottom