Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Nashukuru kwa taarifa ndg yangu, na mie nampotezea mazimaa! kumbe napoteza muda wangu na boya!!!
Achana na huyo bumunda kwanza hizi habari za mujini atazijulia wapi?
Mwenyewe yuko kimbiji huko.
Kanikera sana kiukweli maana hii tabia yake inanikera kujitia mjuaji wakati hakuna kitu.