Zari, pedeshee Katunzi laivu!

Zari, pedeshee Katunzi laivu!

mito hii issue ni kubwa na wambea tunasubiri mtoto azaliwe tu.Nimewahi kusikia Zari aliwahi kucomment kwa shoga yake Huddah huko insta kua kuna mjinga anadanganywa hiyo mimba ni yake.......
Na tusubiri tuone.

KAtunzi, kaka ake warumi,hahaha sitaki mie
 
Last edited by a moderator:
Very true mda ndo best judge kuonyesha mbichi na mbivu na hivi siku hizi kuna DNA wala haisumbui unacheki faster kuelewa ukweli.

Umeona eeh? Kama kijacho sio cha mondi tutajua tu.Maana kuchapiwa ni siri ya ndani ila si unamjua mondi na ule mdomo wake? Hanaga siri.
 
Umeona eeh? Kama kijacho sio cha mondi tutajua tu.Maana kuchapiwa ni siri ya ndani ila si unamjua mondi na ule mdomo wake? Hanaga siri.

Ni lazima kijulikane tu aisee na hivi kila kitu wanaweka mtandaoni.Na dai anataka kuprove watu kuwa ye hawezi kumpregnate mwanamke had I DNA atatupia insta.
 
Hivi kumbe huyo Katunzi wa Zari aliyekuwa anasemwa siku zote ndo huyo Muzamili kakaake nyumbakubwa?? Lol

Kuna mwanaume atakubali kubebesha mimba alafu alee mwengine live live vile??
Anyways....wacha project iendelee
 
Last edited by a moderator:
Mmmm Balaaa, ndio mana Show Ya Dubai Sikumuona Mama Kijachooooo🙇 Duu Naona project inaendelea ...
 
Shigongo mshakunaku kweli, ipo siku huu udaku wake utampwelepweta hadi ajute kuzaliwa. Wakati mwingine anapaswa kujali ubinadamu kuliko pesa, mtu ana mimba halafu anaanza kutaka kumvunjia ndoa yake, kwa nini asisubiri dada wa watu akajifungua? Au lengo ni kumpa stress dada wa watu ili mimba iharibike?
 
Bill gate katunzi muzamil nakutakia maisha mema na mwenyezi mungu akusaidie katika mambo yako yote umekuwa mstari wa mbele kusaidia wenzio endelea na moyo hiyo nzuri muzamil.

-Uwe mfano wa kuigwa hiyeeee,binadaam wakiona una mafanikio watakukatisha tamaa songa mbele usigeuke nyuma ndio dunia mie najua tumetoka mbali ni siri yako sio wote watakupendaaa huuuuuu

-Tenda mema usingoje shukrani cheka na watu wote MUZAMIL KATUNZI.
 
Cha ajabu ni nini ht mke wa huyo mtoa habari au girlfriend kabla ya yeye kulikuwa mtu anakula, so sioni ajabu
 
Kwa hiyo mtu akipiga picha na mtu basi tena ni pedesheeeeee....lol

Ukitaka kujua ni udaku ni swali kwa Diamond gazetini hapo.
 
Kumbe Zari alikuwa anakuja kwa Katunzi,ndo akakutana kwenye ndege na Diamond,kila kitu kikabadilika.Kawa na katunzi muda mrefu alivyoona hapati fame ikabidi ahamie kwa diamond na mimba yake,Diamond itabidi ukapime DNA,usije uziwa mbuzi kwenye gunia bure,bora ungeowa menina tu
 
mito hii issue ni kubwa na wambea tunasubiri mtoto azaliwe tu.Nimewahi kusikia Zari aliwahi kucomment kwa shoga yake Huddah huko insta kua kuna mjinga anadanganywa hiyo mimba ni yake.......
Na tusubiri tuone.

Shosti...

Chini ya kapeti wanasema hata kijacho ni cha katunzi.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom