Zari punguza "kimuhemuhe"

Zari punguza "kimuhemuhe"

Hahaaaaaa!!hatari

Tatizo ukifanya kwa siri siri diamond hataona na hataumia.
Yeye nia yake ni diamond aumie.
Lakini hajamtangaza baby wake, kwa hiyo hata wakiachana akipata mpya anaweza akaendelea kuigiza kwamba ni huyohuyo.
 
Tatizo ilo chuma ( Zari) halichuji eti
Ngoja kwanza nkaze kuzisaka ipo yake..
 
Huyu nae utafikiri kabalehe leo. Ana hamu ya ndoa mpaka basi. Nakumbuka alijiita hadi Mrs Dee. Wallah bora ukose mali kuliko kukosa akili.
Ndoa jamani watu wanatamani hata nusu Saa tu!!yaani mpk anatia huruma
 
Zamani nilikuwa nafikiri huyu dada ana akili...kumbe sifuri tupu.......hakuna mwanaume anapenda kuoa mwanamke amezaa watoto watano......labda awe mzee..sio kijana....mtaniambia tumo humu.....
 
Alikua anautafuta umaarufu kwa nguvu zote kaupata...
Na sasa analipa gharama za umaarufu
Anaishi kwa maneno ya watu sio moyo wake.
Kadate mtu maarufu akifungua simu tu anamuona kila siku..lazima aweweseke.
Watu wakisema kafulia anahangaika kufanya manunuzi ya gharama na kuonyesha mitandaoni,wakisema kazeeka anahangaika kuonyesha mwili wake akiwa nusu uchi...
Wakisema oh huolewi tena ndo hivo anahangaika kukioa kiben ten chake awanyamazishe watu.
Ameelemewa na kelele za watu mtandaoni..zinampelekesha
Angeweza kuzihimili angeishi maisha yake bila kuweweseka!
Hahaaa!,kivipi?team yake wanakuambia role modo
 
Tatizo ukifanya kwa siri siri diamond hataona na hataumia.
Yeye nia yake ni diamond aumie.
Lakini hajamtangaza baby wake, kwa hiyo hata wakiachana akipata mpya anaweza akaendelea kuigiza kwamba ni huyohuyo.
Zari anaugua matatizo ya akili kwa sasa yanaitwa BIPOLAR DISORDER
Mwanamke mwenye uwezo mzuri wa kufikiri,hawezi kushinikiza ndoa ili tu kumjambisha ex wake ambae hata shetani hafui dafu
 
Alikua anautafuta umaarufu kwa nguvu zote kaupata...
Na sasa analipa gharama za umaarufu
Anaishi kwa maneno ya watu sio moyo wake.
Kadate mtu maarufu akifungua simu tu anamuona kila siku..lazima aweweseke.
Watu wakisema kafulia anahangaika kufanya manunuzi ya gharama na kuonyesha mitandaoni,wakisema kazeeka anahangaika kuonyesha mwili wake akiwa nusu uchi...
Wakisema oh huolewi tena ndo hivo anahangaika kukioa kiben ten chake awanyamazishe watu.
Ameelemewa na kelele za watu mtandaoni..zinampelekesha
Angeweza kuzihimili angeishi maisha yake bila kuweweseka!
Unafaa sana kuwa psychologist
 
Tatizo ukifanya kwa siri siri diamond hataona na hataumia.
Yeye nia yake ni diamond aumie.
Lakini hajamtangaza baby wake, kwa hiyo hata wakiachana akipata mpya anaweza akaendelea kuigiza kwamba ni huyohuyo.
Ikibuma je..??!!
 
Back
Top Bottom