Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Ndo n'shasema hivyo, wakati nakuambia ni jinsi gani nakupenda lakini kaa ujue it's a matter of time kabla hamjanasana! Sitaki mchezo mimi, kwa mke wangu!
Basi yaishe bwana haitatokea kwa kuwa hakuna hicho kitu
 
Shosti ee zari atabaki zari. Ka vipi kakigawe kwa dai kumpa pole
Alichokuwa amekosea Hamisa sio kwenda mahakamani bali kushikiwa akili zake na akina Mange!! Kama asingeshikiwa akili, mosi wala asingevujisha siri mapema vile ili kujaribu kuwaachanisha Mond na Zari!! Na alipoona suala la kuwaachanisha limegonga mwamba, wakamjaza kwamba hapo lazima upewe mamilioni kwavile wanasikia kesi za ina hiyo zinazowahusu ma-celeb wa US bila kufahamu sheria za US na TZ ni tofauti! Na hata huko US kwenyewe, sheria zinatofautiana kati ya jimbo na jimbo!
 
Hehehehheeee power of K inawaumiza watu.

Mmmh huyu Zari ndo kafundisha wadada wa kibongo kudanga kwa akili ujue. Kafundisha mtoto yake malezi sio kuflashiwa chooni. Kubwa zaidi kawapa somo zaa kwa mikakati fungulia mtoto account insta hadi benk ila akina myplusbee wanaishia kuwafungulia watoto account insta pekee,bank watagombania child support mahakamaniiiiiiiii

#Dangakwaakili
Ukiangalia na wao wanazo hizo k na akili wanazo wamesoma na isitoshe ni wadogo bado lkn lkn lkn wameishia kuumia hahahaaaa hebu ninyamaze mie nawapenda wanawake wenzangu.
 
See ya next time, lemme down my temper first manake naona kuna mtu anataka kunipanda kichwani na sitaki kukuonesha another side of me! That's how I respect watu aina yako!
Sawa babe baadae
 
Haha I can see that, mimi huwa nakufananisha wewe na Relief Mirzska pamoja na Samwel mdodo [emoji23][emoji23][emoji23] hebu niambie huyo memba unayenifananisha nae
😊😊😊😊

Only that I can't be into these arguments.

I never knew you are thinking of me sometimes, in a positive way.
 
Shangaa na wewe. Tayari wameshamuita majina yoote na bado wanaumia.
Ukiangalia na wao wanazo hizo k na akili wanazo wamesoma na isitoshe ni wadogo bado lkn lkn lkn wameishia kuumia hahahaaaa hebu ninyamaze mie nawapenda wanawake wenzangu.
 
Duh! Yaani JF ni kama jiji! Watu mnafahamiana kutokana na mitaa (majukwaa) mnayopenda kutembelea! Hao wote hakuna hata mmoja ninayemfahamu, and I can bet ni members kindakindani ama MMU au Chit-chat or both 😀😀! Kuhusu wewe, dah, yaani kama joanah! Huwa nikisikiliza "sauti" zenu, you sound like sisters! Nikikuta mnagombana na mtu hapa JF, lazima niingilie kuwatetea kwa sababu nitajua tu mtakuwa mmechokozwa kwa kiwango kisichovumilika!

😂😂😂😂
Ila hata mie sometimes i see Khantwe in me ujue
 
Back
Top Bottom