Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Zari: Sihami kwa Diamond Ng’o.

Huyo anaongea tu,unajua kuongea ni rahisi sn
Ila ukivivaa hivyo viatu ndo utaelewa!
Kweli mwanaume ni mwanaume, wewe unaona Dai hakutenda lolote baya? Uko kwenye mahusiano na mwanamke huyu unaenda kuzaa na mwanamke mwingine, mara umetembea na yule mara umemtia mimba yule daah yaani sketi isikatishe mbele yako unayo. Kiukweli hadi Zari anakuja kubwaga manyanga alikuwa amevumilia mengi
 
Back
Top Bottom