Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Zary ,daaahhhh uyu m'mama namkubali sanaaa na miakili sana ,alafu anajiamin ,hatingishwi na maazingira ,sema kuna vitu vimepungua ambavyo Mima wangu anavyo !!.
 
Haahaa..
Wanawake wa Tz wanaweza mtumia huyu kama chuo kwakweli.. Wataepusha matatizo mengi sana ktk jamii.
Tatizo watu hawajifunzi kwake badala yake wanamtukana kwsbb kawazidi kila kitu.
 

Zari mjanja sana maana anajua kwa watoto wale kupata mwanaume mwingine mwenye umaarufu ni hadithi ya pwagu na pwaguzi
 
Hamisa akuandaa party Bali alialikwa kwa kupewa pesa nadhani hata ungekuwa wewe usingeacha.
Wabongo mnanishangaza akidai matunzo mnalalamika hafanyi kazi anategemea child support akifanya kazi anamuingilia zari mnatakaje kwani!

Hivi wewe unadhani kwenye hizo team zao kuna mwenye akili hata mmoja wasikuchoshe msichoshane mkuu
 
Umeamini alivyosema "hana tatizo na mtoto" sio kweli, then alivyosema "Mondi azae tu nje" ndio alimaanisha, hili ndilo tatizo letu wabongo, we choose what to believe na kutengeneza imaginatins zetu wenyewe na ku create conclusion. Shida hii.
Kama ambavyo nawe umetengeneza imagination yako hapo!!
 
Vitu vya kawaida sana sema wabongo wengi wana chuki mno na hamisa yaani dai kuzaa na hamisa kimewaumaaa
Kweli kabisa, mbona Misa mwenyewe mama wawili lakini kama hajazaa vile!!
 
niliwahi kuongea na jamaa yangu mmoja kuhusu issue ya Nasib na Zari .

Kiukweli kama Nasib ikiwa hakufata kitu Chochote kwa huyu Dada tafadhali sana amuache.

Nasibu kama Nasibu anastahili kupata mkewe halali .
Mke aliyeachwa au kuachika ni msumbufu sana .
Atamsumbua sana Nasibu
 


Ni kweli ni mtoto wa mistake, Diamond hakutaka kuzaa na Hamisa, yeye alikuwa anapiga miti tu na ndiyo maana mwanzoni alikataa kuwa mtoto si wake. Suppose wewe ni mwanamme, ungependa kuzaa na mwanamke kama Hamisa kweli?
 


Usijidanganye, si kweli....Hii ni sawa na kusema kuwa wanawake wote ni vicheche. Kama Diamond anastahili mwanamke basi ni bora aoe mtu kama Zari, mwanamke anayejitambua na kujisimamia mwenyewe si hawa vicheche wanao gawa gawa hovyo ili wawekwe mjini na watu. Mwanamke mzuri ni yule anayejitambua na kujituma always, na si tegemezi. Kwa akili yako wewe Sueky hivi unaweza oa mwanamke kama Hamisa au Wema kweli? Diamond si alimkimbia Wema na kusema kuwa Wema si mtu anayejituma anatumbua tu, unafikiri kwa nini? Mwacheni kijana wa watu aishi na mpenzi chaguo lake mwenyewe, wamependana. Diamond ana hela na Zari anazo pia, hela zao zimeoana, kwishney.
 
Zari anafanya biashara gani ?......hana pesa yoyote mwanamke alieachika sio mke hafai Diamond bora achane na Zari hamfai hata kidogo
 
kuna kitu ndani ya mke kijana
na kunakitu Diamond anakikosa mi nakwambia
 
kuna kitu ndani ya mke kijana
na kunakitu Diamond anakikosa mi nakwambia


Mke kijana pia ana hasara zake, in short, Diamond kabahatika kuwa na mwanamke mzuri, kijana (35 yrs old), anayejituma, mwenye pesa, na anayejiamini. Ya nini kuwa na mwanamke asiyejitambua?
 
Guys, ukiona unapiga game za ugenini na demu wako hana noma, basi ukae ukijua na wewe unachapiwa. Tafakari.
wanasema dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie na dawa ya mwanaume ni mwanaume mwenzio ,
 
Mke kijana pia ana hasara zake, in short, Diamond kabahatika kuwa na mwanamke mzuri, kijana (35 yrs old), anayejituma, mwenye pesa, na anayejiamini. Ya nini kuwa na mwanamke asiyejitambua?
Huyo zari anajiamini /kujitambua kwa lipi?angekua anajitambua asingekesha mitandaoni kumpiga vijembe mtu wasiyeendana hata kidogo.dalili za mtu kujitambua ni kujifunza kutokujibu kila shutuma juu yako.yani we piga kazi ukimya wako utoe majibu ila yeye kutwa yupo Insta na Snapchat kumvaa hamissa..ptyuuuu poor old baboon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…